Showing posts with label JAMII. Show all posts
Showing posts with label JAMII. Show all posts
Tuesday, 13 June 2017
Tuesday, 3 May 2016
Monday, 23 November 2015
Thursday, 29 October 2015
Sunday, 18 October 2015
MATUKIO MSIBA WA DEO FILIKUNJOMBE
Mjane wa Marehemu anaepunga mkono pichani akiashiria huzuni na kuaga.
Spika wa Bunge Anna Mkinda akisalimiana na kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo Zitto kabwe
Picha Nyumani kwa marehemu Deo Filikunjombe Mtoni kijichi Dar es salaam.
Thursday, 15 October 2015
Wednesday, 14 October 2015
Saturday, 26 September 2015
Friday, 25 September 2015
MSAADA WA SARUJI
Mkuu wa Shule ya Sekondari Lugalo akiongea na wanumoja wa waliohitimu elimu ya Sekondari mwaka 1990 waliofika shuleni hapo na kutoa Saruji mifuko miambili kwa ajili ya ujenzi wa Uzio wa Shule.
Mweyekiti wa Umoja wahitimu Shile ya Sekondari Lugalo 1990 Faraja Chang`a kulia akimkabidhi Mkuu wa Shule ya Sekondari Lugalo Benjamin Kabungu Simenti mifuko miambili yenye thamani ya Tsh 2,560,000
kwa ajili ya Ujenzi wa Uzio wa Shule.
Mweyekiti wa Umoja wahitimu Shile ya Sekondari Lugalo 1990 Faraja Chang`a kulia akimkabidhi Mkuu wa Shule ya Sekondari Lugalo Benjamin Kabungu Simenti mifuko miambili yenye thamani ya Tsh 2,560,000
kwa ajili ya Ujenzi wa Uzio wa Shule.
Picha ya Pamoja wahitimu Sekondari Lugalo mwaka 1990.
Tuesday, 15 September 2015
Thursday, 10 September 2015
Saturday, 5 September 2015
RC IRINGA ZIARA UKAGUZI WILAYA YA MUFINDI
Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza kulia pichani akikagua na kupewa maelekezo ya ujenzi wa Vyoo bora kwa matumizi ya Abiria wanaosafiri barabara ya Dar es salaam Mbeya na fundi Mkuu Afisa wa JWTZ Mfinga JKT, Stanley Nzowa katika eneo la Kijiji cha Idetelo kata ya Mbalamaziwa wilaya ya Mufindi.Iringa.
Friday, 28 August 2015
MKUTANO WA KAMPENI CHADEMA
Mgombea Ubunge Jimbo la Iringa mjini Mch Peter Msigwa akiongea na waandishi wa Habari kujibu shutuma dhidi yake zilizo zagaa kwanye mitanadao ya kijamii na hatua atakazo zichukua huku akitoa wito kwa wakazi wa mji wa Iringa na vitongoji vyake kufika katika mkutano mkubwa wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Tanzania kupitia Ukawa Mh Eduwad Lowassa wa CHADEMA siku ya Jumapili tar 30 Agost Saa 10 jioni katika viwanja vya Chuo cha Afya Manispaa ya Iringa.
Monday, 17 August 2015
Subscribe to:
Posts (Atom)



















