Showing posts with label SIASA. Show all posts
Showing posts with label SIASA. Show all posts

Thursday, 29 October 2015

RC ANENA

Mkuu wa Mkoa wa Iringa akiongea na waandishi wa Habari Manispaa ya Iringa kuhusu ujumbe wa amani baada ya Uchaguzi,kwakuwataka wananchi waheshimu maamuzi yaliotokea ili kuendelea na kazi za Maendeleo,

Wednesday, 28 October 2015

SHANGWE, HOIHOI, VIFIJOOOOOOOOOO.

Wapenzi na wanachama wa Chadema wakishangilia nje ya ofisi za Manispaa wakisubiri matokeo ya Ubunge Jimbo la Iringa Mjini juzi.

SALAMU KWA WANANCHI MAMBOOOOOOOOO

Mh Peter Msigwa akisalimia wananchi wamanispaa Iringa kwa kupunga mkonowakati wakisubiri kutangazwa matokeo kushoto ni Mzee mwanamageuzi mkongwe Iringa Butinini.

MCH PETER MSIGWA ATANGAZWA MBUNGE.

Mh Peter Msigwa akiwaasa wananchi wa Manispaa ya Iringa kuwa watulivu wakati wakisubiri matokeo juzi. kushoto ni Msimamaizi wa uchaguzi Jimbo la Iringa Ahmad Sawa.

Tuesday, 27 October 2015

CHADEMA WASHEREHEKEA USHINDI

Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, wakiweka Bendera eneo la Ofisi ya Kampeni za Uchaguzi 2015, oktoba,25 baada ya kupata dalili za Ushindi tar 26 asubuhi.

Friday, 23 October 2015

MKUTANO WA KAMPENI CCM

Add caption
Washabiki wa ccm wakiwa katika mfanano wa rangi za chamachao katika mkutano wa kampeni ya mgombea Urais kupitia ccm,

Sunday, 18 October 2015

MATUKIO MSIBA WA DEO FILIKUNJOMBE

Mjane wa Marehemu anaepunga mkono pichani akiashiria huzuni na kuaga.

 Spika wa Bunge Anna Mkinda akisalimiana na kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo Zitto kabwe

 Ris Jakaya kikwete akipita kuwapa mkono wa fiwa wakati wa kuaga mwili wa Deo na wenzake Lugalo Hospitali
Picha Nyumani kwa marehemu Deo Filikunjombe Mtoni kijichi Dar es salaam.

NI MSIBA WA TAIFA

JK aongoza mamia ya watanzania kuaga mwili wa aliekuwa Mbunge wa Ludewa na wenzake wawili katika hospitali ya Jeshi Lugalo kabla ya kuanza safari kuelekea Njombe, Ludewa kwa Mazishi.
angalia matukio katika picha Mnyalu1blogspot.com

Thursday, 15 October 2015

WAMESAINI MKATABA.



Barozi wa Japani nchini Masaharu Yoshida na Mtendaji mkuu wa Wakala wa Barabara Muhandisi, Patrick Mfugale wakitia saini mkataba wa ujenzi wa Barabara ya Juu (FLYOVR) ya makutano ya Nyerere na Mandela eneo la Tazara, katika hafla iliofanyika jana jijini Dar es salaam.
Picha na Said Ng’amilo 

Wednesday, 14 October 2015

KIWANDA KIPYA CHA SARUJI

Sehemu ya kiwanda kipya cha Saruji Mtwara.

KIWANDA CHA ZAMANI CHA SARUJI.

Kiwanda cha Saruji cha zamani kilichopo Mtwara, Mahala ambapo kimejengwa kiwanda cha Muwekezaji 
Aliko Dangote (DANGOTE SIMENTI). Picha na Said Ng'amilo

SEHEMU YA KIWANDA CHA DANGOTE SIMENTI MTWARA.

Picha sehemu ya Ofisi na Sehemu Kiwanda cha Saruji Dangote simenti.Mtwara.

JK AWEKA JIWE LA MSINGI NHC MTWARA

Rais Jakaya Kikwete akiweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa nyumba za makazi na Biashara zinazo jengwa na Shirika la Nyumba Mtwara, kushoto ni Mkurugenzi mkuu NHC  Nehemia Mchechu na kulia ni Mgombea Ubunge Mtwara mjini. Picha na Said Ng'amilo

Saturday, 26 September 2015

MSAADA SARUJI.

Mwenyekiti wa Umoja wa waliohitimu elimu ya Sekondari Lugalo 1990 Faraja Chang`a akimkabidhi msaada wa mifuko ya Saruji 200 mkuu wa Shule ya Lugalo Benjamin Kabungu ilikusaidi ujenzi wa uzio wa shule,msaadahuo nimchango wa wanaumojahuo. 

Friday, 25 September 2015

BONANZA LA MICHEZO PAWAGA

 Mkurugenzi wa Shirika la IDYDC Iringa John Nkomo akiongea na wana michezo wa zamani Pawaga Veterani Siku ya Bonanza lililo shirikisha michezo mingi ikiwamo kuvuta kamba,kukimbia mitamia,kupiga Danadana na Mpira wamigu kwa Upenzi wa Simba na Yanga na natokeo Simba 2 Yanga 0.
 Mkurugenzi Idydc Iringa John Nkomo akikabidhi kombe la Ushindi kwa Nahodha wa Veterani Pawaga wapenzi wa Simba Amir Msigala baada ya timu yake kuibika kidedea kwa kuwabwaga wenzao Veterani Pawaga wapenzi wa Yanga kwa mabao 2 kwa 0
 Mkurugenzi wa IDYDC Iringa John Nkomo akitoa zawadi ya Mpira wamazoezi kwa Creython Mbanga Muwakilishi wa Veteraniwa Kijiji Cha Luganga
Muwakilishi wa Veterani Kijiji cha Kimande Abdi Masoud akipokea mpira toka kwa Mkurugenzi wa Idydc John Nkomo kwaajili ya mazoezi

MSAADA WA SARUJI

 Mkuu wa Shule ya Sekondari Lugalo akiongea na wanumoja wa waliohitimu elimu ya Sekondari mwaka 1990 waliofika shuleni hapo na kutoa Saruji mifuko miambili kwa ajili ya ujenzi wa Uzio wa Shule.
 Mweyekiti wa Umoja wahitimu Shile ya Sekondari Lugalo 1990 Faraja Chang`a kulia akimkabidhi Mkuu wa Shule ya Sekondari Lugalo Benjamin Kabungu Simenti mifuko miambili yenye thamani ya Tsh 2,560,000
kwa ajili ya Ujenzi wa Uzio wa Shule.
Picha ya Pamoja wahitimu Sekondari Lugalo mwaka 1990.

Friday, 18 September 2015

MKUTANO WA KAMPENI

Mgombea ubunge Jimbo la Iringa mjini Mch Peter Msigwa akiongea na wananchi wa manispaa Iringa katika eneo la Sokokuu akiomba kura huku akinadi sere zake

Tuesday, 15 September 2015

NACHANGIA

Mmoja wa wanamafunzo ya uandishi wa habari za Uchaguzi akichangia hoja katika mafunzo yanayo tolewa Kwa baadhi ya wanahabari wa Iringa,Mbeya na Ruvuma katika ukumbi wa Kalenga Hoteli yalio andaliwa na MCT na BBC.

MAFUNZO

Mkufunzi wa waandishi wakujitegemea Atilio Tagalile akitoa mafunzo kwa waandishi wa habari wa Iringa,Mbeya na Ruvuma juu ya uandishi wa habari za Uchaguzi katika ukumbi wa Kalenga Hoteli Iringa.

UKAGUZI

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza akikagua Ujenzi wa Vyoo bora vya wasafiri vinavyojengwa kata ya Mbalamaziwa Wilayani Mufindi Mkoa wa Iringa Barabara itokayo Dar es salaam Mbeya