Wednesday, 11 March 2015

SHINA LA MTI WA AJABU KALENGA.


Mmoja wa wasimulizi makumbusho Mr Jirani akitoa maelezo ya mti waajabu ambao unaonekana shinani kuna pango ambalo linaNyuki kwa miaka mingi wanaishi pamoja na Nyoka aina ya Muhando anakawaida ya kutoka maramoja kwa mwaka kwenda kunywa maji mto ruaha.Mnyalu.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment