Wednesday 30 April 2014

MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO KAMATI ZA MALIASILI


 Mratibu mafunzo Yustino Msavi akiongea na wajumbe wa kamati za maliasili za vijiji vya Tarafa ya Pawaga 
 katika Semina iliofadhiliwa na WWF kupitia mtandao wa mazingira wakimataifa  MANET yaliofanyika katika ukumbi wa Mwanaima. mafunzo hayo yatafanyika pia kwa kamati zote za Maliasili na Askari wa Mbomipa tarafa ya Idodi ili kuwajengea uwezo wa kiutendaji. Mnyalu.
 Baadhi ya washiriki semina ya kuzijengea uwezo kamati za Maliasili na Askari wa Jumuiya ya  Mbomipa 
 Afisa Maliasiri wilaya ya Iringa Rachel Nhambu akifafanua jambo juu ya ulinzi na uhifadhi wanyama pori wakati wa semina ya kuwajengea uwezo kamati na askari katika harakati za kuzuia ujangili wa Tembo.
Mjumbe toka kijiji cha Kimande  akichangia Jambo katika semina ya kamati za Maliasili
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment