Friday 2 May 2014

MBUNGE JIMBO LA KALENGA AANZA KUPAMBANA NA CHANGAMOTO





Mh Godfray Mgimwa mbunge wa Jimbo la Kalenga  amefanya ziara ya kuwashukuru wananchi  katika baadhi ya kata Jimboni humo pamoja na kutoa vifaa vya ujenzi vilivyo ahidiwa na Mh marehemu Wiliam Mgimwa  sambamba na yeye binafsi  kutoa sehemu ya vifaa na kuahidi kuchangia zaidi. Sawa na mahitaji sehemu husika.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment