Friday 2 May 2014

MH GODFRAY MGIMWA AHITIMISHA ZIARA YA AWALI JIMBO LA KALENGA


 Mh Godfray Mgimwa Mbunge wa Jimbo la Kalenga akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Isupilo kata ya Lumuli alipowatembelea leo kutoa shukurani kwa kumchagua na kujua changamoto walizo nazo katika kazi za maendeleo pamoja na kuwaunga mkono kwa kuwapa baadhi ya vifaa vya ujenzi,
Mh Godfray Mgimwa akimkabidhi  Edwadi Mbwilo Mabati hamsini katika kijiji cha Isupilo kwa ajili ya ujenzi wa Zahanati  .
Mh Godfray Mgimwa akimkabidhi Nahodha wa timu ya Isupilo FC Jemsi Mwano mipira mitano yenye thamani ya Tsh 225,000/= kwa ajili ya vijana watimu ya mpira wa miguu kijijini hapo.
Mnyalu.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment