Friday 2 May 2014

JK: Mishahara itapanda na itapunguzwa kodi




Rais Jakaya Kikwete ametoa ahadi mbili za kuwafurahisha wafanyakazi. Kwanza ametangaza nia ya kuongeza mishahara yao na pili, kupunguza kodi inayokatwa kwenye mishahara hiyo mambo ambayo ameahidi kutekelezwa katika Bajeti ya mwaka 2014/2015 inayotarajiwa kuwasilishwa...
Mwananchi.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment