Saturday, 11 January 2014

HARAKATI ZA UJASILIAMALI.


Stadi za maisha na njiarahisi kwakutumia furusa zinazo tuzunguka
 katika maeneo yetu hapo ni kitongoji cha Mtakuja kijijicha Malinzanga kata ya Mlowa Tarafa ya Idodi. niukanda wa Bonde la ufa kuna miaa inayo tumika kutengeneza majamvi
Bibi Mgonanzi akisuka jamvi ambalo moja huuzwa kwa Tsh.5000/=
Picha na Mnyalu.  


Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment