Tuesday, 10 March 2015

MTI WA MAAJABU ULIOPO KALENGA ENEO LA MAKUMBUSHO YA MKWAWA.


Mti wa aina ya Msombe unaojumuisha miti mitatu ndani yake pamoja na wenyewe unajulikana kama Mti wa ajabu kwakuwa na umeota pamoja na mti wa aina ya Mlangali na Mpogolo. Pia unapango lenye Nyuki ambao wanaishi na Nyoka Mkubwa ambae hutoka maramoja kwa Mwaka kwenda Mto Ruaha kunya maji.
Mnyalu
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment