Thursday 15 May 2014

SHULE ZA SEKONDARI ZILIZO FANYA VIZURI KITAIFA MUFINDI ZA ZAWADIWA.


Mkuu wa Wilaya Mufindi Evarista kalalu akimkabidhi Sr Jeslin Sabs  Cheti cha Ufauru pamoja na Ngao  kwa ajili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana Bethel Sabs  Mafinga kwa kushika nafasi ya 7 kitaifa kwa ufauru ikiwa na Idadi ya wanafunzi chini ya Arobaini  hafra hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Halmashauri Mufindi chini ya Wizara ya Elimu na mafunzo ua ufundi.Tanzania. Mnyalu.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment