Tuesday, 1 April 2014























Roli la kusomba kifusi likiwa kazini wakati wa ujenzi wa Barabara yakutoka tarafa ya Pawaga na Izazi wilwyw yw Iringa  huku wajenzi wakikabiriana na changamoto za uhalibifu miundombinu zinazo sababishwa na mvua nyingi inayo endelea kunyesha mpaka sasa. Picha na Said Ng'amilo.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment