Tuesday, 13 May 2014

AFISA MFAWIDHI (PSPF) IRINGA AKABIDHI MADAWATI YA SHULE MUFINDI KASKSAZINI.


Afisa Mfawidhi PSPF Iringa  Bakari Jumanne akimkabidhi Mkuu wa Wilaya Mufindi Evarista Kalalu Madawati miamoja kwa ajili ya Shule za Msingi Mjimwema, Mamba na Nyamalala yenye thamani ya Tsh 5,000,000/= katka hafla ilio fanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Mufindi Iringa.Mnyalu
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment