MBUNGE MUFINDI KASKAZINI ATOA VIFAA SHULE ZA SEKONDARI NA MSINGI MUFINDI KASKAZINI
Afisa Elimu Msingi wilaya ya Mufindi Farida Mwasumilwe akiongea kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya Mufindi Evarista Kalalu wakati wa Hafla fupi ya kukabidhi Kampyuta tano na Madawati miamoja kwa Shule za Msingi na Sekondari Vifaa hivyo vimetolewa na Mbunge wa Mufindi Kaskazini Mahammodu Mgimwa Pamoja na Shirika la Mfuko wa Pensheni wa watumishi wa Uma Mkoa wa Iringa..
Mnyalu.
No comments:
Post a Comment