Thursday 10 September 2015

MCHUNGAJI PETER MSIGWA KUZINDUA KAMPENI UKAWA


Mgombea Ubunge Jimbo la Iringa Mjini Mch, Peter Msigwa akiongea na waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sambala Hoteli kuwa anatarajia kufanya mkutano wa kuzindua kampeni tar, 12-09-2015 katika uwanja wa Stendi ya Mlandege Manispaa. 
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment