Saturday, 11 January 2014

KUMBUKA TULIKO TOKA NA SERA YA KILIMO KWA SASA.


Kikundi cha vijana  kijiji cha Itunundu Tarafa ya Pawaga Wilaya ya Iringa wakipandikiza Mpunga kwa umoja. wastani kwa siku hupanda Heka mbili mpaka tatu.
Kwathamani ya Tsh.80,000/= kwa heka.
kwa njia ya kukodiwa kwenye shamba la mtu binafsi.

Ikumbukwe kazi kamahiyo kwa mtindo wa umoja miaka ya 1975-1980 katika vijiji vya ujamaa zilifanywa kwa kujitolea na  iwe shamba la mmoja wao au la kijiji uwapi umujahuo leo?.
Picha na Mnyalu.

Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment