Thursday, 16 January 2014

MAFUNZO KWA WAANDISHI WA IKOLO NA KWANZA JAMII



 

 Muwezeshaji Chrissant Mhenga akitoa maelekezo ya upigaji picha kwa kutumia camera ya picha za kawaida kwa waandishi Mjengwablog na kwanza jamii. katika ukumbi wa Maktaba ya Mkoa Iringa mafunzo hayo yamefanyika kwa siku mbili.
 Ndg.Fadhil Mtanga akifundisha somo la Mawasiliano na mahusiano kihabari kwa waandishi wa kwanza Mjengwablog na kwanza jamii katika ukumbi wa Maktaba ya Mkoa Iringa.

Ndg.Daniel Mbega akitoa mafunzo ya Uandishi wa habari za vijijini 
kwa waandishi wa Mjengwablog na kwanza jamii
Mafunzo hayo yametolewa kwa siku nne katika ukumbi wa maktaba ya Mkoa Iringa toka tar.13/01/2014.
Picha zote na Mnyalu.


Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment