Tuesday, 7 January 2014

MSAADA WA VIFAA HOSPITALI







Meneja wa Radio Nuru Victor Chakudika   akikabidhi  msaada wa vifaa vya kutembelea wagonjwa kwa Muuguzi Mfawidhi Rustika Tung’ombe katika haspitali ya Rufaa ya mkoa wa Iringa katika kusherehekea heri ya mwaka mpya.
Picha na Mnyalu.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment