Waandishi wakiongea na mmoja wa majeruhi wa ajari ya pikipiki(Bodaboda) katika hospitali ya Rufaa Mkoani Iringa chumba namba tano.
ikiwa ni mfululizo wa uandaaji Docmentari.
Dkt. Yahaya Msigwa wa hospitali ya Rufaa mkoa wa Iringa akitoa maelezo juu ya waathilika na ajali za pikipiki (Bodaboda)kwa waandishi wa Mjengwablog na kwanza Jamii walipo tembelea chumba cha wagonjwa wa ajari.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment