Sunday 23 February 2014

LIPULI SC NA KIMONDO FC ZATOSHANA NGUVU LEO




 Kipa wa Lipuli akiwania mpira juu kuondoa hatari langoni mwake.
 Ukarabati wa uwanja wa Samora kabla ya Mchezo leo kuthibiti mashimo yaliopo uwanjani


Polisi walipo tia timu uwanjani leo baada ya kutaalifiwa vurugu zilizo tokea huku muamuzi akiwa kupumzishwa katika chumba cha viongozi ndani ya uwanja wa samora.
Picha na Mnyalu.



Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment