Sunday 2 February 2014

NGAMIA WA KUFUGWA NA NAMNA YA KUMUHUDUMIA.



 Ngamia anae fugwa katika Shamba la Abdull Aziz kijiji ch Luganga kata ya Ilolo mpya Tarafa ya Pawaga wilaya ya Iringa  Ngamia huyo kazungushiwa Uzio na kalundikiwa mchanga ili kufananisha asili ya Bala alikotokea.
 Ngamia analishwa Nyasi na mfugaji.

 Ngamia ana lishwa Ngano ilio kandwa ikimaanisha chakula cha asili maeneo ya Jangwani.
 Picha  zote  Mnyalu.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment