Saturday, 15 February 2014

Rais Kikwete: Kuna majangili papa 40 nchini



Habari Kuu

Posted 5 hours ago
>Wakati kuna joto la vyombo vya habari vya kimataifa kuituhumu Tanzania kuwa haipambani na ujangili, Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali imeubaini mtandao unaojumuisha watu 40, akiwemo tajiri maarufu mkoani Arusha....
Chanzo Mwananchi
Mnyalu.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment