Monday 3 February 2014

UOGELEAJI NI STADI ZA MAISHA



Watoto wakiogelea katika Mfereji wa mkombozi wenye maji yaendayo katika Mashamba ya kilimo cha mpunga kijiji cha Itunundu kata ya Itunundu Tarafa ya Pawaga wilaya Iringa.
Picha na Mnyalu.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment