Monday 3 March 2014

MAKAMU MWENYEKITI CCM TAIFA AWASIRI IRINGA




 Makamu Mwenyekiti Taifa Philip Mangula akiongea na waandishi baada ya kuwasili katika ofisi za Chama CCM Mkoa wa Iringa
 Makamu Mwenyekiti akionyesha Gazeti alilo dai limekidhalilisha chama cha CCM Kwa kuandika habari picha ilio onyesha umasikini wa mtoto wa Darasa la Pili anae soma Shule ya Msingi Wasa Tarafa ya Kiponzelo wilaya ya Iringa akidaiwa ni mtoto wa mwenyekiti wa kitongoji CCM.
Katibu wa CCM  Mkoa wa Iringa Hassani Mtenga akimpokea Makamu mwenyekiti CCM taifa  Philip Mangula  alipo wasili katika Ofisi za  mkoa.
Mnyalu.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment