Monday 17 March 2014

MGOMBEA WA CADEMA ARUKA NA CHOPA KUHAKIKI VITUO


Mgombea aliekuwa mgombea Ubunge kupitia (Chadema) Grace Tendega akiongozana na (MB) wa Arusha Mjini Godbles Lema walipotua na Chopa katika kijiji cha Wasa kata ya Wasa kuangalia hali ya upiga kura inavyoendelea katika vituo vya Ofisi ya Kata na Kijiji  Wasa..
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment