Monday 17 March 2014

NEWS PICTURE IRINGA


NEWS PICTURE  IRINGA

Ajali ya Gari aina ya Noa T650BSM ikitokea Dar es Salaam kwenda Mbeya ikiwa imebeba watu nane  Saba wakiwa ni abiria iliacha njia na kutumbukia karongoni eneo la Ndiuka karibu na kiwanda cha Soda  na kumgonga mtembea kwa miguu  aliejulikana kwa Jina la Habiba Kabogo Umri haujajulikana  ni Mwanafunzi wa Chuo cha Retco Iringa na kumsababishia kifo papohapo. Majeruhi sita wametibiwa na kuruhusiwa wakati  Josephati Japhet (29) mkazi wa Ilembo Mbeya aliumia Kidole na Mkono wa kushoto anaendelea na matibabu   katika Hospitali ya rufaa Iringa Picha Mnyalu
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment