Askofu Joseph Mgomi akiongea na wananchi wa kijiji cha Madizini Kata ya Mazombe Tarafa ya Mazombe siku ya uzinduzi wa Choo Bora katika kituo cha huduma ya Mtoto TZ 347 kinacho fadhiliwa na Shirika la Compassion Tanzania.
Mnyalu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment