Sunday 25 May 2014

KANISA LA ANGLIKANA DAYOSISI YA RUAHA MTAA WA ILULA KITUO CHA HUDUMA WAZINDUA CHOO.


Askofu Joseph Mgomi wapili kutoka kushoto akishirikiana na viongozi kufungua Choo kipya kwa matumizi ya Watotowanao lelewa na Shirika la Compassion kituo cha huduma ya Mtoto TZ 347 Anglikana Ilula  viongozi alio andamana nao ni Mkurugenzi Shirika la Compassion Tanzania Joseph Mitinje,Agnes Hotay, Mkurugenzi Mteule Compassion pamoja na Mkuu wa Wilaya Kilolo Gelad Guninita.    .
Mnyalu
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment