Friday 16 May 2014

MH MWENYEKITI WA UKAWA IBRAHIMU LIPUMBA AHUTUBIA IRINGA


 Pro Ibrahimu Lipumba akihutubia  wananchi wa Iringa na vitongoji vyake katika uwanja wa Mwembetogwa  juu ya azima ya UKAWA na mustakabari wa Bunge maalumu la Katiba nchini.Mnyalu.
Umati wa wananchi wa manispaa ya Iringa wakisikiliza mkutano wa viongozi wa Ukawa katika uwanja wa Mwembetogwa Juzi.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment