Friday, 23 May 2014

TFDA YATOA SEMINA KWA WAANDISHI NYANDA ZA KUSINI JIJINI MBEYA


Mgeni Rasimi katibu tawala Msaidizi Mkoa wa Mbeya  Reonard Magacha  akifungua semina ya Waandishi  wa vyombo vya Habari Nyanda za juu kusini mikoa ya Mbeya,Ruvuma,Katavi,Rukwa,Njombe na Iringa.iliotolewa na Maafisa TFDA kuhusu Elimu ya Utumiaji Bidhaa za Chakura,Dawa na Vipodozi ilikufikisha uelewa huo kwa wananchi Mnyalu
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment