Wednesday 4 June 2014

CHADEMA IRINGA WAAAHIDI KUFANYA MIKUTANO MTAA KWA MTAA.


Mwenyekiti wa Kamati ya hamasa Selina Kisyali Chadema  Mkoa wa Iringa akihutubia wananchi wa Manispaa ya Iringa na vitongoji vyake katika mkutano ulioitishwa rasmi na viongozi wa Uhamasishaji toka chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Nyanda zajuu kusini.
Mnyalu.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment