Sunday 31 August 2014

MKUTANO WA CHADEMA MANISPAA YA IRINGA JANA


Johni Mwambigija akiongea na wananchi wa Manispaa ya Iringa katika mkutano wa siasa
ulio itishwa na Mbunge wa Jimbo la Iringa Mch Peter Msigwa jana.Mnyalu1
 Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Iringa Mustapha Msovela akiongea na wakazi wa manspaa ya Iringa jana katika mkutano viwanja vya Mwembetogwa .
 Mwenyekiti CHADEMA mkoa wa Iringa akimkaribisha Mh Peter Msigwa Mbunge aongee na wananchi
                                          wa manispaa ya Iringa.
 Wapenzi na wanchama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo wkisikiliza Mkutano
 Mh Petar Msigwa akiongea na wananchi wa Manispaa ya Iringa jana akielezea kazi za maendeleo zilizo fanyika katika jimbo lake na Changamoto za kisiasa zilizopo kuelekea mwisho wa Muhula wake na Uchaguzi wa 2015.




Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment