Sunday 7 September 2014

UJENZI WA MAKABURI NA KUFAHAMIANA FAMILIA HUSIKA.


 Ndugu wa Familia ya Mangula na Ng'amilo walipokutana  Kijiji kwao Wanging'ombe kujenga Makaburi ya Wazazi wao walio fariki Dunia kama alama ya kuwakumbuka Maishani.Mnyalu





 Mjukuu wa Marehemu  Tulamvona Ngamilo akiweka Shada la Maua katika kaburi la Bibi yake baada ya  Ujenzi kuisha. 



Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment