AJALI MBAYA LEO CHANGALAWE MAFINGA
Umati wawatu waliofika eneo la ajari mbaya leo isiona mfanowake mwaka huu wakishuhudi juhudi za kulinasua contena lililo sababisha vifo vya watu zaidi ya 60 waliokuwa katika Basi la kampuni ya Majinja leo eneo la Changalawe Barabala ya Mbeya Dar.
Mnyalu
No comments:
Post a Comment