Wednesday, 11 March 2015

PICHA ZA MATUKIO YA AJARI CHANGALAWE MAFINGA IRINGA.


 Mwenyekiti wa kamati ya Usalama Barabarani Salim Asasi  akiwa katika eneo la ajari jana.
 Mkuu wa Mkoa Amina Masenza mwenye kilemba cha kijani akiwa na Mkuu wa Wilaya Iringa katika eneo la ajari jana Mafinga.
 Mmoja wa Majuruhi katika ajari ya changalawe akippatiwa matibabu hospitali ya Mafinga
 Mkuu wa mkoa akiwatembelea majeruhi  hospitari ya Mafinga baada ya ajari jana
Umati wawatu waliofika hospitali ya Wilaya ya Mafinga kushuhudia waliopata ajari na kupoteza maisha.
Picha zote na Hakimu Mwafongo.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment