WADAU WA HABARI WAKUTANA
Mkurugenzi wa Fahari yetu Nd. G Sanga na Wahadhiri wa Chuo kikuu Iringa kitengo Cha habari wakibadilishana mawazo juu ya adhima ya uandishi wa Habari za utalii wa ndani kwakutangaza Vivutio na Utamadunu wa asili tulionao nyanda za juu kusini. Mnyalu.
No comments:
Post a Comment