Sunday 17 May 2015

MWANANGU UMMY SAID NG'AMILO AFIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI


Ummy Said Ng'amilo akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili kwa matibabu ya kuishiwa Damu marakwamara akitokea Iringa Hospitali ya Rufaa alikotibiwa zaidi ya Miezi kumi bila mafanikio liwasili tar 7-05-2015 nakulazwa wodi iliopo Jengo la watoto A1 nakufanikiwa kufanyiwa uchunguzi kwa haraka wadamu,Exray na Utrasound naamegundulika anatatizo katika Dam. Hivisasa kahamishiwa wodi ya uchunguzi wa kansa ya Damu kwa watoto tunaomba Maombi kwakila anaeguswa na tatizolake Mungu amponye kwa uwezowake.
Mnyalu
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment