Monday 15 June 2015

Dr JOSEPH CHAGAMA ACHUKUA FOMU ZA URAIS


Mgombea wa 35 nafasi ya Urais Joseph Changai katikati pichani akikabidhiwa fomu za ugombea uraisi na katibu wa Sekreteriet halmashauri kuu ccm Taifa Anamringi Macha mbeleya wapenzi na Wanachama wa ccm. katika ofisi za chama makao makuu Dodoma.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment