Saturday 20 June 2015

MTANGAZANIA YA URAIS 2015 EDWARD LOWASSA ATINGA IRINGA


Mgombea kiti cha uraisi Edward Ngoyai Lowassa akipunga mkono kuwasalimu wapenzi na wanachama wa ccm waliofika uwanja wa kumbukumbu ya Samora wakati wa kumkabidhi famu za udhamini zilizo kuwa na jumla ya 58,652 iliapate ridhaa kupitia ccm. Mnyalu.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment