Saturday 20 June 2015

NAIBU CHIFU WA WAHEHE MALANGALILA AKISALIMIANA NA MTAKA UDHAMINI WA URAISI 2015 EDWARD LOWASSA


Edward Ngoyai Lowassa akisalimiana na naibu Chifu wa Wahehe Mr Malangalila baada ya kumuombea na kumkabidhi kwaniaba ya wana Iringa mamlaka ya kuwa kiongozi wa nchi pindi akipitishwa kuwa mgombea rasmi wa kiti cha uraisi wa Tanzania kupitia CCM 2015. Mnyalu.

Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment