Thursday 16 July 2015

HATI MILIKI ARIDHI ZA KIMILA


Frolah Luvanda kamishina msaidizi aridhi nyumba na maendeleo ya makazi sehemu ya vijijini akiongea na wana kijiji cha Ilalasimba kata ya Nzihi wailaya ya Iringa baada ya kukabidhiwa Hatimiliki za kimila zilizopatikana kwa upimaji wa kutumia Simu ya Mkononi.Myalu.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment