Friday 17 July 2015

NISIKILIZENI


Hamisi Iddi Malinga Mkazi wa Isimani Mzaliwa kijiji cha Ikengeza kata ya Nyang`oro Tarafa ya Isimani akiongea na waandishi wa Habari baada ya zoezi la kuchukua fomu na kusubiri kura za maoni. hukuakielezea adhima iliomsukuma kuingi katika mchakato huo kwa kuainisha changamoto zilizo dumu muda mrefu kama Maji ndio kipaumbe chake kwa Jimbo na mambo mengine mengi. kama atapata ridhaa.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment