Tuesday 4 August 2015

KUHAMA NA KUHAMIA


Mwenyekiti ACT Wazalendo Mkoa wa Iringa Beni Kapwani akiongea na waandishi wa habari wakati wa kumtambulisha rasmi mwanachama mpya aliekuwa Mjumbe wa Halmashauri kuu Chadema Mkoa wa Iringa Abuu Changawe ambae amehamia ACT Wazalendo.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment