Friday, 28 August 2015
MKUTANO WA KAMPENI CHADEMA
Mgombea Ubunge Jimbo la Iringa mjini Mch Peter Msigwa akiongea na waandishi wa Habari kujibu shutuma dhidi yake zilizo zagaa kwanye mitanadao ya kijamii na hatua atakazo zichukua huku akitoa wito kwa wakazi wa mji wa Iringa na vitongoji vyake kufika katika mkutano mkubwa wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Tanzania kupitia Ukawa Mh Eduwad Lowassa wa CHADEMA siku ya Jumapili tar 30 Agost Saa 10 jioni katika viwanja vya Chuo cha Afya Manispaa ya Iringa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment