Sunday 9 August 2015

MNANIELEWAAAAAA...................


Chiku Abwao akiongeana wananchi wa Manispaa ya Iringa katika mkutano wahadhara uliofanyika uwanja wa Mwembetogwa akichukua fursahiyo kueleza historia yake ya uwanaharakati wa mageuzi mpaka sasa anahamia ACT akitokea CHADEMA.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment