Saturday 5 September 2015

RC IRINGA ZIARA UKAGUZI WILAYA YA MUFINDI


Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza kulia pichani akikagua na kupewa maelekezo ya ujenzi wa Vyoo bora kwa matumizi ya Abiria wanaosafiri barabara ya Dar es salaam Mbeya  na fundi Mkuu Afisa wa JWTZ Mfinga JKT, Stanley Nzowa katika eneo la Kijiji cha Idetelo kata ya Mbalamaziwa wilaya ya Mufindi.Iringa.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment