Watoto wakiangalia moja ya ubunifu wa mtengenezaji mfano wa Gari katika maonyesho ya Vijana kitaifa 2013 katika viwanja vya Mlandege Mkoani Iringa.
Biashara ni kuuziana na kununuliana Bw. Majaliwa aliopo kushoto mwa picha akiangalia Kuuliza bei ya kambale Ruvu Darajani mkoa wa Pwani.
Mnyalu.
No comments:
Post a Comment