Monday 27 January 2014

WARSHA




0035,Mh Jaji Mstaafu Raymond Mwaikasu akiongea na wana warsha ya kupitia Rasimu ya katiba na kutoa maoni ya marekebisho ya katiba wakati wa ufunguzi wa warsha hiyo itahitimishwa na mjadara wa mapendekezo ya katiba toka kwa washiriki  02/02/2014  katika ukumbi wa siasa ni kilimo
Ikisimamiwa na National centre for legal studies & Assistance Organisation(NCLSAO) Iringa.

Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment