Wednesday 12 February 2014

BARABARA YA IRINGA DODOMA INAVYO TUMIKA,




 Magari yabebayo mizigo  mikubwa yameanza  kutumia Barabara ya Iringa  kwenda  Dodoma huku yakikabiliwa na Changa moto ya kukosekana kwa maegesho ya Magari maeneo ya Vijiji mji kama uonavyo hapa ni stendi Migoli wilaya ya    Iringa.
hali hiyo husababisha ajari za kizembe na kusababisha kupoteza maisha
 Ubovu wa Barabara unajionyesha mapema huku mkandarasi akiwa kazini ni Barabara ya Dodoma- Iringa.
Safari ni safari mwanangu twende Migoli kijijini wilaya ya Iringa.
Mnyalu
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment