Thursday 13 February 2014

MWENYEKITI IRINGA PRESS CLUB AKAMATWA NA KUACHIWA


Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari Iringa 
 Frenck Leonard akiongea na waandishi baada ya kuachiwa na Polisi  alipo kamatwa ndani ya mahakama wakimtuhumu kuvunjasheria wakati akisikiliza kesi ya Mshitakiwa wa mauaji ya Daud Mwangosi aliekuwa mwandishi wa Chanel ten na Mwenyekiti wa (IPC)
 Waandishi wa habari Wakiwa viwanja vya mahakama ya wilaya iringa wakisubili kupata maelezo kwa msajili wa mahakama juu ya kitendo cha Polisi kumkamata Mwennyekiti  wa IPC wakimshuku kuvunja sheria ndani ya mahakama kosa ambalo halikujulikana nakupeleke kumuachia huru.
Askari kanzu wakimpa ulinzi mtakatifu mshitakiwa wa kosa la mauaji ya aliekuwa muandishi wa chanel ten Daudi Mwangosi wakati ana toka mahakamani leo kwa kumpandisha katika gari maalumu ili asipigwe picha na waandishi baada ya kesi yake kuandikishwa rasimi katika mahakama kuu na itajadililiwa katika kikao kitakacho pangwa tayali kwa kusikilizwa
Mnyalu.

Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment