Tuesday, 18 February 2014

GEORGE MGIMWA ARUDISHA FOMU LEO.


Mgombea Ubunge ccm Jimbo la kalenga George Mgimwa akimkabidhi  Msimamizi wa uchaguzi wilaya Iringa Podenciana Kisaka fomu za ugombea baada ya kukamili ujazaji leo na kusubili kutangazwa rasmi na msima mizi kesho Tar 19-02-2014.
Picha na Mnyalu.

 Mgombea Ubunge ccm Jimbo la kalenga  na wanachama wenzake wakiwa katika matembezi ya pamoja kuelekea ofisi za ccm mkoa Iringa.
 Ni furaha tupu na mchakamchaka umo.
Ni maandamano  Mpaka ofisi za CCM mkoa wa Iringa
 Mgombea ndani ya ofisi ya ccm mkoa wa Iringa.

George Mgimwa mgombea ubungeJimbo la Kalenga  kupitia ccm akiongea na waandishi wa habari
anataraji kuungwa mkono na wanakalenga wote bila kujali rika zao.na anaomba wanachama na wapenzi kuendesha kampeni muda ukiwadia kwa amani na utulivu ili kuheshimu sheria zilizopo.
Picha na Mnyalu.
Unknown Web Developer

No comments:

Post a Comment